NyumbaniMigebukaUsambazajiKuhusu SisiUbiaOmba bei
SWEN
Samaki Migebuka kutoka Ziwa Tanganyika
Usambazaji wa Migebuka • Fresh & Frozen

Wasambazaji wa Migebuka Tanzania.

Tanganyika Fishing Group inasambaza Migebuka — Sleek Lates (Lates stappersii) — kutoka Ziwa Tanganyika kwa wauzaji wa jumla, wafanyabiashara, hoteli, migahawa, kampuni na wasambazaji. Tunatoa Migebuka wabichi kwenye barafu na waliogandishwa kabisa.

Bidhaa kuuMigebuka
ChanzoZiwa Tanganyika
WatejaJumla & biashara
WhatsApp+255 718 834 118
Migebuka aina ya Sleek Lates
Migebuka / Sleek LatesLates stappersii • Ziwa Tanganyika
Usambazaji wa Migebuka kibiashara

Kutoka Ziwa Tanganyika hadi kwenye biashara yako.

Kipaumbele chetu ni Migebuka. Tunapata, tunahudumia, tunasafisha, tunahifadhi na kuandaa Migebuka kwa wanunuzi wa kibiashara wanaohitaji supply ya kuaminika.

Ukitaka Migebuka wabichi kwenye barafu au waliogandishwa kabisa, tutumie kiasi unachohitaji, destination na hali ya samaki unayotaka ili tujadili upatikanaji na mpango wa usambazaji.

TFG
Supply ya Migebuka kwa biasharaFresh kwenye barafu • Frozen
Aina za supply ya Migebuka

Chagua hali ya Migebuka inayofaa biashara yako.

Migebuka waliogandishwa Tanzania
01 / Frozen

Migebuka Waliogandishwa

Migebuka waliogandishwa kabisa kwa wauzaji wa jumla, wasambazaji na biashara zinazohitaji kuhifadhi, kusafirisha au kuuza tena.

Angalia Frozen Migebuka →
Migebuka wabichi kwenye barafu kutoka Ziwa Tanganyika
02 / Fresh kwenye barafu

Migebuka Wabichi

Migebuka fresh/chilled wanaowekwa kwenye barafu kwa hoteli, migahawa, wafanyabiashara na biashara zinazohitaji samaki wasio frozen kabisa.

Angalia Fresh Migebuka →
Tunawahudumia nani

Kwa biashara zinazohitaji supply ya Migebuka ya kuaminika.

Tunawahudumia wanunuzi wa kibiashara wanaotafuta Migebuka kwa kiasi kinachofaa biashara yao, huku hali ya samaki, destination na muda vikijadiliwa kabla ya supply kuthibitishwa.

01

Wafanyabiashara & wauzaji wa jumla

Migebuka kwa ajili ya kuuza tena na kusambaza kwenye masoko mbalimbali Tanzania.

02

Hoteli & migahawa

Migebuka fresh kwenye barafu au frozen kwa kitchen na shughuli za hospitality.

03

Kampuni & wasambazaji

Sourcing ya Migebuka kwa kampuni zinazohudumia wateja, matawi au network za usambazaji.

04

Viwanda & processors

Supply ya Migebuka kwa processing na mahitaji mengine ya kibiashara pale inapofaa.

Namna ya kuagiza Migebuka

Mchakato rahisi wa supply ya biashara.

01

Tuma mahitaji ya Migebuka

Tuambie fresh au frozen, kiasi, destination na muda unaohitaji.

02

Tunathibitisha upatikanaji

Timu yetu inajadili upatikanaji na mpangilio wa oda pamoja nawe.

03

Maandalizi ya Migebuka

Migebuka wanahudumiwa na kuandaliwa kulingana na fresh au frozen iliyokubaliwa.

04

Usafirishaji / kuchukua

Logistics za mwisho zinakubaliwa kulingana na destination na mahitaji ya oda.

Boti za uvuvi Ziwa Tanganyika
Ubia & uwekezaji

Tujenge supply chain imara ya Migebuka pamoja.

Tuko wazi kwa mazungumzo makini ya ubia na uwekezaji yanayoweza kuimarisha sourcing ya Migebuka, handling, cold-chain, usambazaji na upatikanaji wa masoko mapya.

Fahamu fursa za ubia
Unahitaji Migebuka?

Tuma kiasi, hali ya samaki na destination.

Omba supply ya Migebuka