Nyumbani / Migebuka waliogandishwa
Tanganyika Fishing GroupMigebuka waliogandishwa kwa usambazaji wa biashara.
Migebuka waliogandishwa kabisa kwa wafanyabiashara, wasambazaji, kampuni na wanunuzi wengine wanaohitaji frozen product.

Hali ya usambazaji
Imeandaliwa kulingana na mahitaji yako.
Frozen inaweza kufaa kwa safari ndefu zaidi, cold storage na usambazaji wa baadaye. Hali, kiasi na logistics vinathibitishwa kabla ya supply.
Kiasi cha biashara
Tuambie volume unayohitaji ili tujadili upatikanaji.
Logistics kulingana na mnunuzi
Destination na muda vinaangaliwa kabla ya supply kuthibitishwa.
Mawasiliano ya moja kwa moja
WhatsApp au barua pepe inaanzisha mazungumzo ya biashara na timu yetu.
Omba supply
