NyumbaniMigebukaUsambazajiKuhusu SisiUbiaOmba bei
SWEN
Nyumbani / Usambazaji wa samaki
Tanganyika Fishing Group

Usambazaji wa kibiashara kwa wanaohitaji kiasi.

Tunafanya kazi na wanunuzi wa jumla na biashara zinazohitaji Migebuka au samaki wanaofaa kutoka Ziwa Tanganyika kwa kuuza, hotelini, kusambaza au processing.

01

Wafanyabiashara

Kwa wanaopeleka samaki kwenye masoko ya ndani na maeneo mbalimbali.

02

Hoteli & migahawa

Kwa kitchens na hospitality businesses zinazohitaji supply iliyopangwa.

03

Wasambazaji

Kwa kampuni zinazokusanya bidhaa kwa wateja au matawi mbalimbali.

04

Viwanda / processors

Kwa biashara zinazotumia samaki kwenye processing au shughuli nyingine za kibiashara.

Tunachohitaji kutoka kwako

Maelezo mazuri huleta majibu ya haraka.

Tuma aina ya bidhaa, kiasi, destination, tarehe au frequency unayohitaji na namna biashara yako itapokea samaki. Tutatumia taarifa hizo kujadili mpango unaowezekana.

Hakuna malipo yanayofanyika kwenye tovuti hii. Upatikanaji na masharti ya usambazaji yanathibitishwa moja kwa moja na timu yetu.